Skip to main content
Skip to main content

Taharuki yatanda Turkwel kufuatia mashambulizi yaliyosababisha vifo vya watu 2

  • | KBC Video
    127 views
    Duration: 3:57
    Hali ya taharuki imepanda huko Turkwel kwenye eneo la mpakani la Pokot Magharibi na Turkana kufuatia kuibuka kwa mashambulizi ya ujambazi yaliyosababisha vifo vya watu wawili na wengine kadhaa kujeruhiwa. Kwingineko, wakazi wa Thindigua katika kaunti ya Kiambu wanaishi kwa hofu baada ya majambazi waliojihami kuvamia jumba la makazi na kuingia katika nyumba kadhaa wakiiba bidhaa za kielektroniki pamoja na bidhaa nyingine za nyumba usiku wa kuamkia Jumapili. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive