Kampuni ya Royal Credit Limited yataka mamlaka ya bima, IRA kurekebisha makosa

  • | Citizen TV
    169 views

    Kampuni ya Royal Credit Limited sasa inaitaka mamlaka ya bima nchini kurekebisha makosa ya umiliki wa kampuni ya Directline Assurance au kuruhusu tume ya kupambana na ufisadi kuchunguza swala hili