Mji wa Embu uligeuzwa ukumbi wa vurumai na vurugu na waandamanaji

  • | Citizen TV
    6,965 views

    Shughuli zote zilisimama katika kaunti ya Embu Jumatatu mchana huku vurugu zikishuhudiwa wakati wa makabiliano kati ya polisi na waandamanaji waliokuwa wakipinga visa vya utekaji nyara. Haya ni huku watu kadhaa wakikamatwa katika kaunti mbalimbali kwa kufanya maandamano. Ben Kirui anaangazia hali ilivyokuwa katika kaunti mbalimbali.