Seneta Okiyah Omtata ni miongoni mwa waandamanaji waliokamatwa

  • | Citizen TV
    9,939 views

    Maafisa wa polisi wamewakamata wanaharakati 18 akiwemo seneta wa busia okiya omtatah walioandamana jijini nairobi kuishinikiza serikali kuwaachilia huru vijana waliotekwa nyara na maafisa wa usalama. Waandamanaji waliojifunga minyororo na kubeba mabango ya kukashifu utekaji nyara walikabiliwa na polisi kwa vitoa machozi . Melita oletenges alikuwa kwenye patashika hiyo na sasa anatuchorea taswira kamili.