Mahakama yamuamuru Inspekta Jenerali wa Polisi kuwasilisha waliotekwa nyara

  • | Citizen TV
    9,241 views

    Makahama imeagiza kuachiliwa huru kwa watu sita wanaodaiw akutekwa nyara na maafisa wa polisi. Jaji nbahati mwamuye amemuagiza inspekta jenerali wa polisi douglas kanja kuwawasilisha binafsi sita hao katika mahakama ya Milimani hapo kesho jumanne saa tano asubuhi. Haya ni huku jaji mstaafu david maraga akilaani utekaji nyara na mauaji na kuitaka serikali kuwaachilia huru waliokamatwa.