Kampuni ya Neema kurahisisha ununuzi wa nyama

  • | Citizen TV
    1,556 views

    Teknolojia imechangia kustawi kwa biashara nyingi nchini, huku sasa ikiwa rahisi kununua bidhaa kama vile nyama kupitia mtandao. Huu ndio mtindo ambao kampuni ya kuuza nyama ya neema iliyoko katika eneo la lucky summer imekuwa ikitumia na kuwapa fursa wateja wake kuagiza na kununua nyama mtandaoni.