Rais asema serikali haitawalazimisha wafugaji kuchanja mifugo yao

  • | Citizen TV
    1,312 views

    Rais William Ruto amesema kuwa mpango wa chanjo kwa mifugo ambao unapangwa na serikali sio wa lazima. Akiwarai wafugaji kukubali chanjo ya serikali, ruto amesema kuwa tetesi zinazoibuliwa ni za uongo akisema kuwa hatua hiyo itawezesha mataifa ya kigeni kununua nyama iliyoboreshwa na chanjo hiyo. Ruto alikuwa akizungumza huko Kilgoris.