- 324 viewsKifo cha rais Carter kimetufungulia ukurasa wa mwaka 2025, wiki hii tunaangazia uongozi Jimmy Carter kama rais wa zamani wa Marekani. VOA Swahili inarusha matangazo ya Duniani Leo kupitia Tovuti yetu na jukwaa la Facebook Jumatatu hadi Ijumaa tukikuletea habari mbalimbali za siasa na uchambuzi kwa lugha ya Kiswahili. Tembelea tovuti yetu voaswahili.com/duniani-leo na Makala Maalum ya Jarida la Wikiendi. Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu. Matangazo yetu yanasambazwa kupitia satellite, cable, FM na MW, na and kupitia mtandao wa vituo vya matangazo vya washirika wetu takriban 3000. Tangu kuanzishwa mwaka 1942, Sauti ya Amerika imeendelea na azma yake ya kutoa habari za kina na kuwaambia wasikilizaji wake ukweli. Tangu kipindi cha Vita Vya Pili vya Dunia, Vita Baridi, Vita dhidi ya ugaidi wa kimataifa, na juhudi za ukombozi duniani kote hivi leo VOA imekuwa mfano katika kutekeleza kanuni za vyombo vya habari huru. Jiunge na VOA Swahili: » Tembelea Tovuti Yetu: https://bit.ly/3PtyNWc »Angalia Video Zaidi za VOASwahili: https://bit.ly/3TNTiiI »Pakua VOA+ katika vifaa vya Apple : https://bit.ly/VOAPlus »Download VOA+ katika vifaa vya Android https://bit.ly/3KykriI »Tembelea Tovuti yetu: https://www.voaswahili.com/ »Upende ukurasa wetu wa Facebook: https://www.facebook.com/voaswahili »Tufuatilie katika Instagram: https://www.instagram.com/voaswahili »Tufuatilie katika X: https://twitter.com/voaswahili »Tufuatilie katika YouTube: https://www.youtube.com/@VOASwahili
Rais wa Zamani wa Marekani Jimmy Carter amefariki Dunia akiwa na umri wa miaka 100.
- 9 Jan 2025 - There were twin smiles on the faces of Will Emmanuel Isanda and Wayne John Isanda following the release of the Kenya Certificate of Secondary Education (KCSE) examination results for 2024.
- 9 Jan 2025 - Jimmy Carter brought a brief moment of national unity to a divided America Thursday as five US presidents gathered for the solemn state funeral of the 39th commander-in-chief in Washington's National Cathedral.
- 9 Jan 2025 - Prime Cabinet Secretary Musalia Mudavadi has said the government and the private sector will have a harmonized document on the ease of doing business, which will be launched by April.
- 9 Jan 2025 - A Kapsabet Boys High School student who missed three consecutive academic terms due to mental health challenges has beaten all odds to score a straight A in the 2024 Kenya Certificate of Secondary Education (KCSE) examinations.
- 9 Jan 2025 - China said on Thursday it had recorded five cases of a new mpox strain, but that the "outbreak has been effectively handled".
- 9 Jan 2025 - Pilot programme to be rolled out in Elgeyo Marakwet, West Pokot and Baringo counties.
- 9 Jan 2025 - The Ministry of Education has issued a stern warning to secondary school principals who are charging extra fees. In a statement on Thursday, January 9, 2025, Education Cabinet Secretary Julius Migos Ogamba said that the ministry is concerned by the…
- 9 Jan 2025 - Nairobi Governor Sakaja Johnson on Thursday flagged off 24 new refuse compactor trucks at City Hall in efforts to improve waste management across the city.
- 9 Jan 2025 - Over the past years, a student's academic and career life is often judged by their school grades and those who score grade E are likely to attract disdain from society.
- 9 Jan 2025 - Police in Ongata Rongai, Kajiado County, have impounded two matatus captured in a now-viral video brazenly flouting traffic rules and regulations along the Karen-Rongai Road.