Wakati upepo ukipungua kasi, wafanyakazi wa zima moto hatimaye wameanza kuudhibiti moto wa msituni ulioenea katika eneo la Pacific Palisades huko Los Angeles Ijumaa (Januari 10), kiwango kamili cha uharibifu kimeweza kuonekana kutoka angani.
Mioto sita ya msituni iliyotokea kwa wakati mmoja imeteketeza maeneo jirani ya kauti ya Los Angeles tangu Alhamisi (Januari 7), imeuwa watu wasiopungua 10 na kuharibu takriban majengo 10,000.
Baada ya kuwaka na kushindikana kudhibitiwa kwa siku kadhaa, licha ya juhudi za mamia ya wafanyakazi wa zima moto waliokuwa wakipambana na moto huo kutoka angani na ardhini, moto wa Palisades uliweza kudhibitiwa kwa asilimia 8.
Cal Fire waliorodhesha viwango cha udhibiti kuwa ni asilimia 0 ilipofika Ijumaa. - Reuters
#marekani #la #wildfires #voaswahili #santamonica #malibu
12 Mar 2025
- The rock went largely unnoticed for 20 years until the school, in Queensland's rural Banana shire, asked paleontologist Anthony Romilio to examine a cluster of three-toed track marks.
12 Mar 2025
- The first round notably eliminates the Office of the Chief Scientist, led by Katherine Calvin, a renowned climatologist who contributed to key UN climate reports. She and other US delegates were also barred from attending a major climate science meeting…
12 Mar 2025
- Spain's government approved a bill on Tuesday imposing massive fines on companies that use content generated by artificial intelligence (AI) without properly labelling it as such, in a bid to curb the use of so-called "deepfakes".
12 Mar 2025
- Former Philippine President Rodrigo Duterte was arrested and taken into custody on Tuesday in Manila on an International Criminal Court warrant for the "war on drugs" that defined his term in office and which killed thousands of Filipinos.