Biden: 'Marekani inashinda katika ushindani duniani kote'

  • | VOA Swahili
    385 views
    Biden: ‘Marekani inashinda katika ushindani duniani kote’ “Hivi sasa, kwa maoni yangu, naushukuru uongozi wetu, Marekani inashinda katika ushindani duniani kote,” Rais Joe Biden alisema Jumatatu, katika hotuba yake ya mwisho kuhusu sera za nje huko Wizara ya Mambo ya Nje. Rais-mteule Donald Trump ataapishwa kwa muhula wa pili Januari 20. (VOA/AFP)