Serikali ya kaunti ya Kericho imezindua mfumo wa kidijitali wa ukusanyaji ushuru.

  • | KBC Video
    14 views

    Gavana wa Kericho, Erick Mutai ambaye alizindua mfumo huo katika makao makuu ya kaunti alisema utasaidia kukabiliana na changamoto za ukusanyaji ushuru na pia kupunguza gharama. Mfumo huo wa kidijitali utatekelezwa katika nyanja 49 za kifedha na mapato ushuru huku serikali ya kaunti hiyo ikinuia kukusanya mapato ya shilingi bilioni-1.2

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive