Mwakilishi wa wanawake wa Machakos Joyce Kamene aitaka serikali kukomesha utekaji nyara nchini

  • | Citizen TV
    262 views

    Mwakilishi wa Wanawake wa Machakos Joyce Kamene ameitaka serikali kukomesha matukio ya hivi majuzi ya utekaji nyara nchini. Kamene alisema ni vibaya kwa serikali kuendelea kutazama matukio ya utekaji nyara yakiendelea lakini hakuna kinachofanyika. Alitoa mfano wa vijana 4 wa mlolongo walitekwa nyara na hadi sasa hakuna dalili zozote za kuachiliwa kwao.