Wakazi wa Mbotela wafanya maandamano ya kipekee

  • | Citizen TV
    1,812 views

    Wakaazi wa mtaa wa Mbotela leo wamefanya maandamano ya kipekee kupinga ubomozi wa nyumba zao. Wakaazi hao walibeba malazi yao na kuyaweka barabarani na kisha kuyalalia kama njia ya kukashifu nyumba zao kubomolewa. Hali hiyo ilipelekea msongamano mkubwa wa magari.