Wakaazi wa Narok watakiwa kulinda nyanzo vya maji

  • | Citizen TV
    36 views

    Naibu Gavana wa Kaunti ya Narok Tamalinye Koech amehimiza wakaazi kuiga mfano bora wa upanzi wa miche ili kulinda chemichemi za maji nchini sawia na inavyofanyika nchini Ethiopia