Naibu Rais asuta wanaosema hawajawajibikia ahadi zao

  • | Citizen TV
    517 views

    Naibu wa Rais Kithure Kindiki amewataka wapinzani wa serikali kumkosoa Rais William Ruto kwa haki kuhusu utendakazi wake