Kazi ni kazi : Allan Amufa

  • | KBC Video
    11 views

    Kwa miongo mingi sasa, wazazi wamekuwa wakijibidiisha kuwafunza wanao jinsi ya kujimudu kimaisha kwa kufanya kazi au hata kutumia kipaji kujitafutia riziki. Allan Amufa ni mmoja wa wajasiriamali ambao wamejifunza kutoka kwa wazazi wake katika juhudi za kujiimarisha kimaisha. Kwa sasa Allan amejitosa kwenye kazi ya kukarabati magari na anamiliki karakana yake jijini Nairobi. Tazama

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive