Serikali yahimizwa kuimarisha mradi ya Nyumba Kumi

  • | KBC Video
    2 views

    Serikali imetakiwa kuhuisha na kuwezesha miradi ya ulinzi wa kijamii ukiwemo ule waNyumba Kumi kama hatua muhimu ya kukomesha visa vya utekaji nyara na uhalifu ambavyo vimenakiliwa katika sehemu mbalimbali za nchi. Wakereketwa wa haki za binadamu wakiongozwa na mchungaji Harrison Kariuki wa kanisa la Foundation of Prophet and Apostles Church of God, wanasema hatua hiyo itasaidia kupata habari muhimu na ya kuaminika ambayo itawawezesha maafisa husika kukabili visa hivyo katika jamii. Maoni yake yaliungwa mkono na mtetezi wa haki za binadamu Peter Tena, aliyehimiza serikali kutambua mchango wa wazee wa vijiji katika kudumisha amani, haki na sheria mashinani.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive