Mkasa wa mgodi Kakamega : Watu -5 wameokolewa na Watu 15 bado wamekwama

  • | KBC Video
    43 views

    Watu watano wameokolewa kutoka mugodi wa madini ya dhahabu katika kijiji cha Museno huko eneobunge la Shinyalu, kaunti ya Kakamega ,baada ya mugodi huo kuporomoka jana jioni .Hii ni baada yaw engine wanane kuokolewa kutoka mugodi huo .Wengine saba wamekwama kwenye Mugodi huo .Mugodi huo uliporomoka wakati shughuli ya uchimbaji ilipokuwa ikiendelea .Shughuli ya kuwaokoa watu waliokwama kwenye mugodi huo bado inaendelea ikiongozwa na polisi na wachimbaji migodi . Licha ya kukumbwa na changamoto kadhaa ikiwemo ukosefu wa vifaa Mkuu wa polisi wa Shinyalu pamoja na maafisa wengine wahusika wameonya wakazi dhidi ya kukaribia eneo hilo wakisema ni hatari kwa usalama .

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive