Ifahamu China: Mbwa Roboti

  • | KBC Video
    40 views

    Mbwa roboti wa Kichina wenye miguu sita sasa wanaweza kuchukua majukumu muhimu katika nyanja mbalimbali kwa kutumia teknolojia mnemba, ikiwa ni pamoja na ufuatiliaji wa vifaa, huduma kwa wazee, na hata utafiti wa kisayansi katika mazingira magumu. Mbwa roboti hawa wametengenezwa kupitia ushirikiano kati ya Chuo Kikuu cha Shanghai Jiao Tong na Kampuni ya Lenovo, na wanajivunia ufanisi mkubwa wa uhamaji, uthabiti, na uwezo wa kubeba mizigo mizito.Maelezo ya kina katika makala yetu kuhusu Ifahamu China

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive