M23 yatangaza kusitisha vita

  • | BBC Swahili
    1,693 views
    M23 yatangaza kusitisha vita mashariki mwa DRC. M23 vilevile Wametaka kujiondoa kwa vikosi vya SADC wakisema kuwa misheni yao haina uhalali tena. Yaliyomo katika matangazo ya Dira ya Dunia TV leo 03/02/2025 na @Roncliffe Odit Usikose kuungana nasi leo saa tatu usiku saa za Afrika Mashariki katika mitandao ya YouTube na Facebook ya BBC Swahili. Pia unaweza kutupata kupitia Star TV Tanzania na K24 TV nchini Kenya. #bbcswahili #DRC #M23 Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw