Mkazi wa Casuarina, Kilifi apinga ujenzi wa jengo mtaani

  • | KBC Video
    46 views

    Mahakama ya kushughulikia kesi za mazingira na ardhi huko malindi katika kaunti ya Kilifi imehamisha kusikilizwa kwa rufaa inayotaka maagizo ya kusitishwa kwa ujenzi wa jumba la mamilioni ya pesa katika eneo la Casuarina hadi kwa halmashauri ya kitaifa ya usimamizi wa mazingira na jopo la litaifa la mizozo ya kimazingira.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive