Wamiliki wa trela wapinga vikali hatua ya serikali ya kaunti kuwatoza ada ya shilingi 700 kwa kila

  • | Citizen TV
    1,379 views

    Wamiliki wa trela nchini wamepinga vikali hatua ya serikali ya kaunti kutaka kuwatoza ada ya shilingi 700 kwa kila trela inayoingia katika bandari ya mombasa kupakia na kupakuwa shehena.