Jackson Ole Sapit asema kanisa la ACK linaunga mkono hatua ya marekani kuondoa misaanda nchini

  • | Citizen TV
    317 views

    Askofu mkuu wa Kanisa la Kianglikana (ACK) humu nchini Jackson Ole Sapit amesema kuwa kanisa hilo linaunga mkono hatua ya marekani kuondoa misaanda humu nchini huku akisema viongozi wa Afrika wanafaa kuamka na kuwajibika ipasavyo katika kuangazia masuala muhimu ya mataifa Yao.