Mto wageuka rangi na kuwa mwekundu Argentina

  • | BBC Swahili
    871 views
    Mfereji katika kitongoji cha mji mkuu wa Argentina Buenos Aires ulibadilika kuwa mwekundu siku ya Alhamisi, hali iliyowatia hofu wakazi wa eneo hilo. Tazama namna maji hayo yenye rangi yenyekundu yalivyokuwa yakionekana katika mto wa Rio de la Plata, #bbcswahili #argentina #ikolojia Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw