Gavana, mbunge na waziri wa zamani kufika DCI

  • | Citizen TV
    897 views

    Maafisa wa upelelezi wamemuagiza Gavana wa Kakamega Fernandes Barasa, Mbunge wa Matungu Peter Nabulindo na waziri wa zamani Rashid Echesa kuandikisha taarifa kuhusiana na vurugu lililoshuhudiwa kwenye mazishi wikendi iliyopita