Kwa nini Trump anautaka mfereji wa Panama

  • | BBC Swahili
    1,113 views
    Mfereji wa Panama ulikamilishwa kujengwa 1914 na Marekani baada ya kampuni za Ufaransa kushindwa. Ilichukua zaidi ya miaka 30 kujengwa ambapo baadaye ulikabidhiwa kwa Panama Hivi karibu Rais wa Marekani Donald Trump alielezea nia yake ya kutaka kurejesha udhibiti wa Mfereji wa Panama kwa Marekani. Je Mfereji wa Panama ni nini na kwa nini Trump anautaka? #bbcswahili #marekani #panama Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw