RUPHA Yatoa Mwongozo Mpya Kufuatia Kusimamishwa kwa Huduma za SHA kwa Walimu na Polisi

  • | K24 Video
    7 views

    Kufuatia tangazo la kusimamishwa kwa huduma za bima mpya ya afya ya SHA na za kibinafsi kwa walimu na maafisa wa polisi , katika hospitali binafsi, kuanzia kesho,chama cha hospitali za binafsi kimetoa miongozo mipya. Mabadiliko ni ya kuimarisha uendeshaji na kuhakikisha wagonjwa wanapata taarifa sahihi. ingawa huduma za dharura zitaendelea kupatikana, sera zingine zimewekwa ili kuongoza hospitali na wagonjwa katika kipindi hiki