Harambee Starlets wanazidi kunoa makali ya WAFCON 2025, kuchuana na Tunisia Ijumaa wiki hii

  • | TV 47
    6 views

    Harambee Starlets wanazidi kunoa makali ya WAFCON 2025.

    Kenya itachuana na Tunisia Ijumaa ya wiki hii.

    Mechi hii itaandaliwa katika uwanja wa Ulinzi Complex.

    Kenya haijafuzu dimba hili la WAFCON tangu mwaka wa 2016.

    #TV47Matukio

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __