Afisa wa polisi Mkenya auawa Haiti

  • | KBC Video
    137 views

    Afisa wa polisi MKenya ambaye ni sehemu ya kikosi cha usalama cha Kenya kinacholinda amani nchini Haiti amefariki. Kulingana na taarifa ya huduma ya taifa ya polisi, afisa huyo alijeruhiwa wakati wa oparesheni ya usalama ya kudhibiti magenge ya wahalifu hapo jana. Afisa huyo alipata majeraha ya risasi, na kupelekwa hospitalini kwa matibabu, ambapo alifariki. Tayari familia yake imejulishwa kuhusu kisa hicho.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive