Hasara kwa wavuvi : Wafanyabiashara waagizwa kuhama soko

  • | KBC Video
    8 views

    Zaidi ya wafanyabiashara elf-1 wa samaki katika soko la Kasarani kaunti ya Busia wamenaza kukadiria ia hasara kufuatia ilani ya siku-14 iliyotolewa na serikali ya kaunti hiyo kuwataka wabomoe vibanda vyao. Wafanyabiashara hao wanahofia hali yao ya baadaye kwani nafasi kwenye soko mbadala walilotengewa ba serikali ya kaunti hiyo haiwezi kukidhia idadi yao. Hata hivyo wamehimiza viongozi wao kuwapa mwelekeo unaofaa kuhusu suala hilo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive