Moto uliozuka katika misitu ndani ya mbuga ya Maasai Mara

  • | Citizen TV
    190 views

    Moto uliozuka katika misitu ndani ya mbuga ya Maasai Mara inaendelea kusambaa na kuharibu mimea na miti iliyokuwa imepandwa katika juhudi za kuhifadhi mbuga hiyo