Raila: hakuna shilingi bilioni 13 zilizotumika

  • | Citizen TV
    7,970 views

    Aliyekuwa mwaniaji kiti ya mwenyekiti wa tume ya AU, Raila Odinga amekana kuwa serikali ya Kenya ilitumia shilingi bilioni 13 katika kampeni zake barani