Mwanafunzi wa kidato cha nne auawa Kwale

  • | Citizen TV
    848 views

    Mvulana mmoja mwanafunzi wa kidato cha nne ameuawa kwa kupigwa na umati katika eneo la Msikiti Nuru huko Diani Kaunti ya Kwale usiku wa kuamkia leo akidaiwa kuwa mhalifu