Serikali yasifia huduma za afya mitandaoni

  • | Citizen TV
    152 views

    Wizara ya afya ikishirikiana na mashirika katika sekta ya kibinafsi walikutana katika kikao maalum kilichozungumzia hatua zilizofikiwa katika safari ya kuhamisha sekta hiyo kuweza kufanikisha majukumu yake kidijitali