Felix Koskei: Serikali imeimarisha usalama katika eneo la Kazkazini Mashariki

  • | KBC Video
    26 views

    Mkuu wa utumishi wa umma Felix Koskei amesema serikali imeimarisha usalama katika eneo la Kazkazini Mashariki mwa taifa hili. Koskei aliyekuwa katika gatuzi la Marsabit amesema vitengo mbalimbali vya usalama sasa vinaziba viingilio vyote vya mpakani vinavyotumiwa na majangili pamoja na wahalifu kwa ulanguzi wa mihadarati na binadamu.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive