Skip to main content
Skip to main content

Wahudumu wa afya watoa ilani ya mgomo

  • | KBC Video
    96 views
    Duration: 3:05
    Vyama vya wafanyakazi wa sekta ya afya vimetoa ilani ya mgomo ya siku 21 kufuatia kile vinachokitaja kuwa kutepetea kwa baraza la magavana katika kushughulikia masuala yanayowaathiri wahudumu wa afya. Vyama hivyo vinawashutumu magavana kwa kuzima juhudi zao za kubadilisha mikataba ya kikazi ya wafanyakazi wa mpango wa afya kwa wote (UHC) kuwa mikataba ya masharti ya kudumu. Vyama hivyo sasa vinataka wafanyakazi wote wa mpango wa UHC kutia saini mikataba ya masharti ya kudumu kufikia mwisho wa mwezi Septemba mwaka huu na mikataba hiyo ioneshe kuwa walianza kuhudumu kwa masharti hayo mwezi Julai mwaka huu. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive