Wanjigi akanusha ufahamu wa vitu vilivyogunduliwa, kwenye gari lililokokotwa kutoka kwa boma lake

  • | NTV Video
    3,670 views

    Mfanyabiashara Jimmy Wanjigi amekanusha ufahamu wa vitu vilivyogunduliwa, vikiwemo vitoa machozi, kwenye gari lililokokotwa kutoka kwa boma lake. pia amekanusha kuwa gari hilo ni lake. Vile vile, wanjigi anasema polisi walivamia familia yake na, kuiba vitu nyumbani kwake.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya