Viongozi wasema ODM haitaungana na Kenya Kwanza

  • | Citizen TV
    660 views

    Viongozi wa chama cha ODM wamemtetea kinara wa chama hicho Raila Odinga ya kufanya kazi na serikali wakisema hatua hiyo ilikuwa ya kupunguza mihemko kutoka kwa vijana wa Gen Z na kuokoa nchi kutokana na misukosuko ya kisiasa.