Wadau wakongamana Mombasa kwa maandalizi ya kongamano la utalii

  • | Citizen TV
    166 views

    Kongamano la tatu la utalii kati ya Kenya Na Uganda linatazamiwa kufanyika Novemba mwaka huu. Wadau katika sekta hii wamekongamana mombasa kwa maandalizi ya kongamano hilo litakalofanyika nchini Uganda. Kongamano hilo linalenga kukuza utalii na tamaduni baina ya mataifa.