Vijana wa Samburu walalamikia kukosa vitambulisho

  • | Citizen TV
    56 views

    Vijana wa South Horr Samburu Kaskazini, wanalalamikia ugumu wanaopitia kupata kitambulisho cha kitaifa, ikiwemo kusafiri zaidi ya kilomita mia moja hamsini ili kupata stakabadhi hiyo muhimu. Masaibu hayo sasa yanayumbisha hatma ya baadhi yao wanaolenga kujiunga na vyuo vikuu na taasisi mbali mbali za elimu ya juu nchini