Wafanyakazi wa safari za ndege kugoma jumatatu ijayo

  • | Citizen TV
    1,609 views

    Wafanyakazi wa safari za ndege katika uwanja wa ndege wa jomo kenyatta sasa wanasema wataanza mgomo wao rasmi jumatatu ijayo kupinga mipango ya uwekezaji kutoka kwa shirika kigeni kutoka India la Adani. Muungano wa wafanyakazi hawa wa KAWU ukitoa rasmi ilani ya mgomo. Wanalalamikia miongoni mwa maswala mengine hofu ya kupoteza ajira na hata uhalali wa mpango huo