Mkaazi aeleza sababu ya takataka kugeuka kuwa janga

  • | VOA Swahili
    489 views
    Kwa mujibu wa shirika la habari, mvua kubwa ambazo zimekuwa zikinyesha katika wiki za karibuni zilisababisha rundo la takataka kuporomoka kutoka sehemu ya dampo la Kampala, Kiteezi, na kupelekea kufunikwa kwa baadhi ya nyumba zilizokuwa karibu, wakati wenyewe walipokuwa wamelala. Mkaazi na muathirika wa janga hilo Senjobe Edward anaelezea nini kilichosababisha maafa hayo… - VOA Picha na Mwandishi wa VOA, Sadam Muballe, Kampala, Uganda.⁣ #uganda #kampala #takataka #dumpo #maporomoko #vifo #polisi #voa #voaswahili