Maandamano yashinikiza uhuru wa Palestina kabla ya kuanza Mkutano wa DNC

  • | VOA Swahili
    465 views
    Makundi mbalimbali ya haki za binadamu ya waandamanaji yalijitokeza katika mitaa ya mjini Chicago Jumapili kabla ya kuanza kwa Mkutano wa Wademokratik wa Kitaifa 2024, wakishinikiza kuwa Wapalestina wapewe uhuru wao na pia wakitaka kusitishwa kwa vita kati ya Israel na Hamas. Mkutano wa DNC wa Chama cha Demokratik utaanza leo siku ya Jumatatu tarehe 19 hadi tarehe 22 Agosti, huko Chicago, Illinois, Marekani. #mkutano #kitaifa #wademokratik #chicago #illinois #marekani #voa #voaswahili