Chama cha ODM kimetoa wito kwa serikali kutochukulia urafiki wa kisiasa kati yao na Raila Odinga

  • | K24 Video
    212 views

    Chama cha ODM kimetoa wito kwa serikali kupitia chama tawala cha UDA kutochukulia urafiki wa kisiasa kati yao na Raila Odinga kama fursa ya kujitengenezea umaarufu katika ngome za upinzani. ODM imesisitiza kuwa watahakikisha wanasimamisha wagombea katika chaguzi ndogo zote nchini, pia wamekanusha madai ya kupanga kuunga mkono UDA au kushirikiana nao katika chaguzi hizo.