Wabunge watakiwa kuweka mgao wa bajeti kwa maendeleo ya miundombinu ya msingi

  • | K24 Video
    12 views

    Wabunge wametakiwa kuweka mgao wa bajeti kwa maendeleo ya miundombinu ya msingi na kuweka mbinu za kisera ili kutoa elimu ya bure kamilifu katika elimu ya msingi. Aidha, wanapaswa kuzingatia nafasi yao ya usimamizi na ile ya kuunda sheria. Hii ni kufuatia uamuzi uliotolewa na vikundi vya mashirika ya kiraia kukata rufaa baada ya mahakama kuu kuruhusu matumizi ya hazina ya ngcdf hadi juni mwaka 2026.