Kalonzo akemea vikali hatua za serikali

  • | K24 Video
    2 views

    Kiongozi wa Wiper, Kalonzo Musyoka, amekemea vikali hatua za serikali, akieleza kwamba utekaji nyara unaofanywa na maafisa wa polisi ni ukiukaji wa haki za kikatiba. Kalonzo alisema kuwa hatua hizo ni njia ya kuendeleza ukatili wa binadamu pamoja na udikteta, na hazikubaliki katika taifa linalofuata sheria. Christine Musa na maelezo zaidi