Wakenya wana hadi Ijumaa kutoa maoni kuhusu mswada

  • | Citizen TV
    1,933 views

    Wakenya wana hadi siku ya ijumaa kuwasilisha maoni yao kuhusu mswada unaopania kuongeza muhula wa Rais kutoka miaka mitano hadi miaka saba