Wazazi watakiwa kuwa makini na wana wao

  • | Citizen TV
    301 views

    Wataalamu wa elimu katika kaunti ya Trans Nzoia wamewataka wazazi kuendeleza juhudi za kuwafunza watoto wao maadili mema msimu huu wa likizo ndefu ili kuepuka kujipata pabaya katika mkono wa sheria.