Rais kufungua mradi wa kawi wa Menengai III

  • | Citizen TV
    781 views

    Rais William Ruto anafanya ziara ya kukagua miradi ya serikali katika kaunti za Nakuru na Bomet. Rais anatarajiwa kuzindua ujenzi wa mradi wa kawi ya mvuke wa Menengai III katika kaunti ya Nakuru kabla ya kufungua kituo cha matibabu ya moyo katika hospitali ya Tenwek huko Bomet.