Maafisa wa serikali Afrika wakutana Mombasa

  • | Citizen TV
    409 views

    Mkuu wa utumishi wa umma Felix Kosgei anatazamiwa kufunga rasmi kongamano la kwanza barani Afrika kuhusu utendakazi wa maafisa wa serikali.